
Valu-Mart
NAFASI ZA KAZI ZA UWAKALA WA MAUZO
Freelancer, Full-time •
WHAT THIS JOB IS ABOUT: Wakala wa Mauzo anatakiwa kutafuta wateja wenye uwezo na uhitaji wa kununua bidhaa zetu.
YOU’RE TASKS
1. Kutafuta masoko ya kufanyia mauzo
2. Kutafuta na kusajili wateja wenye uwezo na uhitaji wa kununua bidhaa zetu.
3. Kumfanyia usahili wa mkopo mteja aliyopo tayari kununua kwa mkopo.
QUALIFICATIONS
1. Uwe na elimu ya kuanzia form four au zaidi
2. Uwe na Umri usiopungua miaka 20
3. Uwe tayari kuhamia sehemu nyingine
4. Uwe mwenye kujituma
MALIPO
-Tshs (250,000 kwa Mwezi)
-Tshs (150,000 kwa mwezi iwapo utafikisha target) Bonus
MAENEO TUNAYOITAJI MAWAKALA WA MAUZO.
Arusha, Manyara, Tanga
Kilimanjaro, Singida, Dar es Salaam, Geita, Shinyanga, Kagera, Simiyu, Mara, Tabora, Mwanza, Ruvuma, Rukwa, Mbeya, Iringa, Njombe, Mtwara, Lindi
HOW TO APPLY
Tuma Maombi yako kwa kuandika
Kwa email: karibu@valumart.co.tz
Au WhatsApp Only:
0621 312 072 (USIPIGE SIMU)
To apply for this job email your details to karibu@valumart.co.tz